Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Josephat Mwagala (kushoto) leo Julai 17 amefika katika Ofisi za CCM Wilaya ya Mufindi na kumkabidhi Katibu wa CCM wilaya ya Mufindi, Ndg James Mgego Fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Ubunge katika jimbo la Mufindi Kusini kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM.
Mwagala amefika ofisi za CCM akiwa ameambatana na mkewe. Picha na Zuhura Zukheyr, Iringa
Social Plugin