MWANAHARAKATI CYPRIAN MUSIBA AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA 'KANGI LUGOLA'
Tuesday, July 14, 2020
Mwanaharakati Cyprian Musiba amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea ubunge katika Jimbo la Mwibara, Mkoa wa Mara.
Jimbo hilo linaongozwa na Mbunge Kangi Lugola kupitia (CCM).
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin