NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AIBUKA MSHINDI KATIKA KURA ZA MAONI JIMBO LA MBEYA MJINI - CCM
Monday, July 20, 2020
Dkt. Tulia Ackson aibuka mshindi katika kura za maoni Jimbo la Mbeya Mjini - CCM baada ya kujizolea kura 843 kati ya kura 886.
Dkt. Tulia Ackson Kura - 843
Dkt. Mahenge Mabula Kura - 16
Charles Mwakipesile Kura - 11
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin