NAIBU WAZIRI WA ARDHI DKT.ANGELINA MABULA NAYE AJITOSA RASMI KUGOMBEA UBUNGE TENA
Tuesday, July 14, 2020
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ilemela Dkt.Angelina Mabula leo amechukua fomu ya kutetea kiti chake cha ubunge katika ofisi ya Chama cha CCM wilaya ya Ilemela
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin