NAIBU WAZIRI WA MAJI JUMAA AWESO ATETEA KITI CHAKE KIBABE KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA PANGANI
Monday, July 20, 2020
Kutokea Tanga, Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameongoza kura za maoni katika Jimbo la Pangani.
Aweso ameongoza kwa kura 282 akifuatiwa na Mohamed Waziri mwenye kura 30.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin