MHANDISI NGELEJA ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MISUNGWI
Tuesday, July 14, 2020
Mhandisi Pharles Elisha Ngeleja akionesha fomu ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Misungwi mkoani Mwanza kupitia CCM leo Jumanne Julai 14,2020
Mhandisi Pharles Elisha Ngeleja akikabidhiwa fomu ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Misungwi mkoani Mwanza kupitia CCM leo Jumanne Julai 14,2020
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin