Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KADA WA CCM OTHMAN DUNGA ARUDISHA FOMU KUGOMBEA UBUNGE KONDOA MJINI



Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Othman Dunga (mwenye suti nyeusi akirudisha fomu kuomba ridhaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea Ubunge Jimbo la Kondoa Mjini mkoani Dodoma leo Ijumaa Julai 17,2020.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Othman Dunga (mwenye suti nyeusi akionesha fomu kuomba ridhaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea Ubunge Jimbo la Kondoa kabla ya kuirudisha leo
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Othman Dunga (mwenye suti nyeusi akirudisha fomu kuomba ridhaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea Ubunge Jimbo la Kondoa Mjini leo Ijumaa Julai 17,2020

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com