Stanley Otto Mayunga akirudisha fomu ya kuomba kugombea ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini. Kulia ni Katibu wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini, Agnes Bashemu.
***
Kada wa Chama Cha Mapinduzi Stanley Otto Mayunga amechukua na kurudisha fomu ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini.
Stanley Otto Mayunga amechukua fomu leo Jumanne Julai 14,2020 asubuhi na kurudisha fomu leo mchana katika ofisi za CCM wilaya ya Shinyanga Mjini.
Stanley Otto Mayunga akirudisha fomu ya kuomba kugombea ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini. Kulia ni Katibu wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini, Agnes Bashemu. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Stanley Otto Mayunga akizungumza baada ya kurudisha fomu ya kuomba kugombea ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini.
Social Plugin