Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

PETER LIJUALIKALI AJITOSA TENA UBUNGE JIMBO LA KILOMBERO KUPITIA CCM

Aliyekuwa Mbunge wa Kilombero kupitia CHADEMA na baadaye kuhamia CCM, Peter Lijualikali amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kutetea nafasi hiyo.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com