RAIS MAGUFULI AWASILI MKOANI MTWARA KUHUDHURIA MAZISHI YA RAIS MSTAAFU BENJAMIN WILLIAM MKAPA KESHO
الثلاثاء, يوليو 28, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa ndege wa Mtwara mkoani Mtwara kwa ajili ya kushiriki Mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa ambayo yatafanyika hapo kesho kijijini kwao Lupaso Masasi mkoani Mtwara.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin