Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa katibu wa Itikadi na uenezi wa Chama hicho, Humprey Polepole kimetoa utaratibu na ratiba kamili itakayoohusisha mchakato wa uchukuaji fomu kwa wagombea wa udiwani/masheha na wabunge/wawakilishi kupitia tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020.
Utaratibu huo umetolewa leo Jumatatu tarehe 13 Julai 2020 na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma
Social Plugin