Aliyekuwa Mbunge wa kuteuliwa ambaye pia ni Mke wa Rais mstaafu wa awamu ya 4, Mh. Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kugombea ubunge katika jimbo la Mchinga Mkoa wa Lindi.
Mama Salma amechukua fomu hizo leo Jumatano tarehe 15 Julai 2020 kuwania jimbo hilo ambalo lilikuwa likiongozwa na Hamidu Bobali wa Chama Cha Wananchi (CUF).
Social Plugin