Mwenyekiti wa Chemba ya Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) mkoa wa Shinyanga, Dk. Kulwa Ezekiel Meshack akionesha fomu ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mwenyekiti wa Chemba ya Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) mkoa wa Shinyanga, Dk. Kulwa Ezekiel Meshack amechukua fomu kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Dkt. Meshack amechukua fomu ya kuomba kugombea ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini leo Jumanne Julai 14,2020 katika ofisi za CCM wilaya ya Shinyanga Mjini.
Amesema endapo chama chake kikimpa ridhaa ya kuwa mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini atahakikisha anasimamia na kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM huku akibainisha kuwa vipaumbele vyake vitakuwa katika sekta ya elimu,afya na uchumi.
Mwenyekiti wa Chemba ya Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) mkoa wa Shinyanga, Dk. Kulwa Ezekiel Meshack akionesha fomu ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mwenyekiti wa Chemba ya Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) mkoa wa Shinyanga, Dk. Kulwa Ezekiel Meshack akionesha fomu ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Social Plugin