Katibu wa CCM wilaya ya Kahama Emmanuel Mbamange akimkabidhi Ezekiel Maige fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo Msalala kwa awamu pili kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Picha na Salvatory Ntandu - Kahama
Mbunge wa Jimbo la Msalala Ezekiel Maige leo Julai 15,2020 amechukua fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo Msalala kwa awamu pili kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mpaka leo saa 10 jioni Julai 15,2020 zaidi ya wanachama 245 wa CCM wamejitokeza kuomba ridhaa CCM kuomba kugombea ubunge mkoani Shinyanga ambapo katika Jimbo Shinyanga Mjini wamejitokeza 48,Msalala 33, Ushetu 13, Kahama Mjini 53, Solwa 39 na Kishapu 59.
Social Plugin