PETER FRANCIS ALEX ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE SHINYANGA MJINI
Thursday, July 16, 2020
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Peter Francis Alex akionesha fomu ya kuomba ridhaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini.
Peter Francis Alex amechukua fomu ya kuomba ridhaa CCM kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini katika ofisi za CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Julai 15,2020
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin