RAIS MAGUFULI AFANYA MABADILIKO YA UTEUZI ALIOFANYA JULAI 17... MHANDISI MARWA MWITA RUBIRYA SASA RC NJOMBE
Sunday, July 19, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko ya uteuzi alioufanya Julai 17,2020 ambapo amemteua Mhandisi Marwa Mwita Rubirya kuwa Mkuu wa mkoa wa Njombe
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin