WANANCHI WA SOMANGA MKOANI LINDI WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI, MZEE AMKABIDHI ZAWADI YA JOGOO
Thursday, July 30, 2020
Wananchi wa Somanga Mkoani Lindi wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwapa fedha na kujengwa Kituo cha Afya. Mzee Kimbwembwe amempa zawadi ya jogoo.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin