Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATOA POLE KWA FAMILIA YA MZEE MKAPA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa, nyumbani kwa marehemu , Masaki jijini Dar es salaam, Julai 24, 2020. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu,   Mhe. Benjamin William Mkapa, nyumbani kwa marehemu, Masaki jijini Dar es salaam, Julai 24, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu,   Mhe. Benjamin William Mkapa, nyumbani kwa marehemu, Masaki jijini Dar es salaam, Julai 24, 2020.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, marehemu Benjamin William Mkapa ambako walikwenda kutoa pole kwa familia, Julai 24, 2020.  Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Abubakar Kunenge na wa tatu kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Godfrey Chongolo. 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com