WAZIRI MKUU WA BURUNDI JENERALI ALAIN GUILLAUME AONDOKA NCHINI LEO
الأربعاء, يوليو 29, 2020
Waziri Mkuu wa Burundi Jenerali Alain Guillaume ameondoka nchini leo Julai 29,2020 baada ya kuwasilisha salamu za pole kufuatia kifo cha Mzee Mkapa.
Mwenyeji wake Waziri wa Viwanda Mhe.Innocent Bashungwa ndiye aliyemsindikiza uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar es Salaam.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin