Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAZIRI WA KILIMO JAPHET HASUNGA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VWAWA KUPITIA TIKETI YA CCM


Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga amechukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi leo Julai 14, 2020. 


Anayemkabidhi fomu hiyo ni Katibu wa CCM Wilaya ya Nbozi Ndg Julius Mbwiga.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com