WAZIRI WA TAMISEMI SULEIMAN JAFO ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KISARAWE
Tuesday, July 14, 2020
Waziri wa TAMISEMI Suleimani Jafo, leo Julai 14, 2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake ili kimteue kwa ajili ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kisarawe.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin