Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WILLIAM LUKUVI AIBUKA KIDEDEA KATIKA KURA ZA MAONI JIMBO LA ISIMANI, IRINGA

Zoezi la kuhesabu kura katika Jimbo la Isimani mkoani Iringa limekamilika na Waziri wa Aridhi William Lukuvi ameibuka mshindi kwa kupata kura 453.


Lukuvi - 453
Kiyoyo - 16
Mwilinge - 5
Kidunye - 5
Kalinga - 4
Mfilinge - 4
Kushoka - 0
Chengula - 0
Gange - 0


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com