YANGA YAMTIMUA KOCHA EYMAEL KWA KAULI ZA UBAGUZI...ATAKIWA KUONDOKA HARAKA TANZANIA
Monday, July 27, 2020
Klabu ya Yanga imemfuta kazi kocha wake EymaelLuc na kuhakikisha anaondoka haraka nchini kutokana na kauli zisizo za kiungwana na kibaguzi alizozitoa na kusambaa katika mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin