Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Solwa mkoani Shinyanga, Hoja Mahiba (kushoto), akimkabidhi fomu za uteuzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Ahmed Salum ya kugombea ubunge jimbo la Solwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu.
Ahmed Salum akionyesha fomu ya tume ya taifa ya uchaguzi (Nec) ya kugombea ubunge jimbo la Solwa kupitia chama cha mapinduzi CCM Kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28, mwaka huu.
Picha na Marco Maduhu
Via Shinyanga Press Club Blog
Social Plugin