Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa orodha ya pili ya majina 37 ya wagombea ubunge wa majimbo mbalimbali nchini ambapo kimemteua Lazaro Nyalandu kugombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Suzan Lyimo kugombea Jimbo la Kinondoni, Lucy Magereli Kigamboni, Salome Makamba Jimbo la Shinyanga Mjini, Gibson Ole Meiseyeki kugombea Jimbo la Arumeru Magharibi, na Aboubakar Mashambo Jimbo la Bumbuli.
Social Plugin