Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

SHINDANO LA 'JAMBO SELFIE' LIMEANZA RASMI... JISHINDIE KITITA CHA FEDHA KWA PICHA TU!



Kampuni ya Utengenezaji na Usambazaji wa Vinywaji baridi ‘Jambo Food Products Limited’ leo Jumanne Agosti 11,2020 imezindua rasmi Shindano la 'Jambo Selfie' ambalo litampa mtumiaji wa bidhaa za jambo fursa ya kupiga picha akinywa vinywaji vya jambo na kujishindia kitita cha hadi shilingi 100,000/=.

JINSI YA KUSHIRIKI 
Ili Kushiriki katika Shindano la Jambo Selfie… Fuata maelekezo yafuatayo!! 

👉Nunua kinywaji chochote cha Jambo popote ulipo kisha Piga picha 'Piga selfie'  ukiwa umeshikilia kinywaji cha Jambo/ ukinywa kinywaji cha Jambo kisha Post kwenye Instagram yako halafu Tag @jambogroup 

Changamkia Fursa! Mshindi kujinyakulia hadi Shilingi Laki Moja (Tsh. 100,000/=) 

Kwa Taarifa zaidi Follow Kurasa za Jambo Group kwenye Mitandao ya Kijamii 
👇👇
Instagram: @ jambogroup 

Facebook: @ jambogroup

Twitter: @jambogrouptz

#JAMUKAYA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com