Aliyekuwa Mbunge wa kuteuliwa ambaye pia ni Mke wa Rais mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete leo Jumanne Agosti 25,2020 amerudisha Fomu za kugombea Ubunge Jimbo la Mchinga kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mchinga Jomary Satura.
Mke wa Rais mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete akirudisha Fomu za kugombea Ubunge Jimbo la Mchinga kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mchinga Jomary Satura (kushoto).
Social Plugin