Mamia ya wananchi wakiwemo makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamejitokeza kumsindikiza mgombea ubunge wa jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula wakati akirejesha fomu kwa Msimamizi wa Uchaguzi leo Agosti 25, 2020.Picha kwa hisani ya BMGHabari
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin