Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

GODWIN MAKOMBA KUPEPERUSHA RASMI BENDERA YA ACT WAZALENDO SHINYANGA MJINI


Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Godwin Michael Makomba amechukua fomu kupeperusha bendera ya Chama Cha ACT Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2020.

Pichani kulia ni Godwin Michael Makomba akikabidhiwa fomu na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Shinyanga, Geofrey Mwangulumbi jana Agosti 20,2020.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com