Msanii wa Muziki Bongo fleva, Mbwana Kilungi 'Mbosso' akiwa na vinywaji vinavyozalishwa na Kampuni ya Uzalishaji na Usambazaji wa Vinywaji baridi 'Jambo Food Products Ltd' ya Mjini Shinyanga alipofanya ziara katika kiwanda hicho Agosti 8,2020.
Akiwa katika kiwanda hicho kinachozalisha vinywaji mbalimbali zikiwemo Juice,Soda na maji, Mbosso alieleza kufurahishwa na uwekezaji mkubwa kwa kutumia mitambo ya kisasa huku akifurahia vinywaji hivyo.
Msanii wa Muziki Bongo fleva, Mbwana Kilungi 'Mbosso' akiangalia namna vinywaji vinavyozalishwa katika Kiwanda cha Jambo Food Products Ltd.
Msanii wa Muziki Bongo fleva, Mbwana Kilungi 'Mbosso' akiangalia Juisi ya Matunda Mchanganyiko 'Jambo Matunda Mix' katika Kiwanda cha Jambo Food Products Ltd.
Msanii wa Muziki Bongo fleva, Mbwana Kilungi 'Mbosso' akiwa na vinywaji vinavyozalishwa katika Kiwanda cha Jambo Food Products Ltd 'Jambo Cola na Jambo Power'
Msanii wa Muziki Bongo fleva, Mbwana Kilungi 'Mbosso' akizungumza katika Kiwanda cha Jambo Food Products Ltd.
Social Plugin