HAMIS NGUNILA ARUDISHA FOMU KUWANIA UDIWANI KITANGILI KUPITIA CHADEMA
Tuesday, August 25, 2020
Mgombea Udiwani uchaguzi Mkuu mwaka 2020 kata ya Kitangili katika Manispaa ya Shinyanga Hamis Ngunila (CHADEMA) akirudisha Fomu kwa Afisa Msimamizi wa Uchaguzi Rose Matunda (kulia) leo Jumanne Agosti 25,2020
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin