MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA ASHIRIKI KATIKA TAMASHA LA NGUVU YA MWANAMKE
Sunday, August 02, 2020
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanawake Vijana kwenye Kongamano la Tamasha la nguvu ya Mwanamke (GIRL POWER) mwaka 2020 lililofanyika leo Agost 02, 2020 katika ukumbi wa mikutano wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin