Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha : SHANGWE ZATAWALA SALOME MAKAMBA AKIRUDISHA FOMU KUGOMBEA UBUNGE SHINYANGA MJINI KUPITIA CHADEMA

Shangwe zimetawala Mjini Shinyanga wakati Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Salome Makamba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akirudisha fomu za kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2020 kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Shinyanga Mjini,Geofrey Mwangulumbi.

Salome Makamba amerudisha fomu leo Jumanne Agosti 25,2020 akisindikizwa na viongozi na wanachama wa CHADEMA. 
Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Salome Makamba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwa na fomu za kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini wakati akizikabidhi kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Shinyanga Mjini Geofrey Mwangulumbi. Picha zote na Emmanuel Mpanda
Kulia ni Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Salome Makamba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba akirudisha fomu za kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Shinyanga Mjini Geofrey Mwangulumbi.
Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Salome Makamba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba akijaza fomu kabla ya kuzikabidhi
Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Salome Makamba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba akijaza fomu kabla ya kuzikabidhi kwa msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Shinyanga Mjini.
Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Salome Makamba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba akijaza fomu kabla ya kuzikabidhi kwa msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Shinyanga Mjini, Geofrey Mwangulumbi (kushoto).
Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Salome Makamba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiapa.
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Shinyanga Mjini,Geofrey Mwangulumbi akikumbusha Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini, Salome Makamba (CHADEMA) kuhubiri amani kwenye mikutano ya kampeni
Kulia ni Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Salome Makamba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiagana na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Shinyanga Mjini Geofrey Mwangulumbi baada ya kurudisha fomu za kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2020.
Viongozi na wanachama wa CHADEMA wakipiga picha Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini, Salome Makamba.
Viongozi na wanachama wa CHADEMA wakipiga picha Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini, Salome Makamba.
Viongozi na wanachama wa CHADEMA wakipiga picha Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini, Salome Makamba.
Picha zote na Emmanuel Mpanda

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com