Askofu wa Jimbo Katoliki la Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu,leo Jumatano Agosti 19,2020 ameongoza Ibada ya masifu ya jioni ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kutoa daraja Takatifu la Upadre kwa Mashemasi sita ambapo watatu ni wa jimbo la Shinyanga ,wawili ni wa shirika la Mtakatifu Agustino na Mmoja ni wa shirika la SMA.
Ibada hiyo imefanyika katika Kanisa Kuu la Mama Mwenye Huruma Ngokolo mjini Shinyanga na kuhudhuriwa na Mapadre,Watawa,na Waamini kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya jimbo Katoliki.
ANGALIA PICHA HAPA CHINI
Askofu wa Jimbo Katoliki la Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu ameongoza Ibada ya masifu ya jioni .PICHA KWA HISANI YA RADIO FARAJA FM STEREO
Social Plugin