Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Tazama Picha : SHEREHE YA KUMPONGEZA NA KUMUAGA 'SEND OFF' MFANYAKAZI WA OMMY FASHION DANIELLA

Daniella Peter Kwadhi akikata keki kwenye Send off yake usiku wa Ijumaa Agosti 7,2020 - Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
***

Mamia ya wakazi wa Shinyanga wamejitokeza katika Sherehe ya Kumpongeza na Kumuaga ‘Send off’ Mfanyakazi wa Kampuni maarufu ya uuzaji nguo ‘Ommy Fashion’, Bi Daniella Peter Kwadhi mkazi wa Kambarage Mjini Shinyanga anayetarajia kufunga ndoa na Mhandisi Mwesiga Laurent Katunzi.

Sherehe hiyo iliyohudhuriwa na Wakurugenzi wa Makampuni Mbalimbali, ndugu,jamaa na marafiki wa wanandoa hao watarajiwa imefanyika usiku siku ya Ijumaa Agosti 7,2020 katika Ukumbi wa Nyakahara Mjini Shinyanga.

Daniella amekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya Ommy Fashion inayomilikiwa na kijana maarufu mkoa wa Shinyanga,Omary Ramadhan ‘ Ommy Fashion’ ambpo amefanya kazi katika Kampuni ya Ommy Fashion kwa zaidi ya miaka 10 huku ikielezwa kuwa amekuwa mfanyakazi wa mwaminifu anayeipenda kazi yake.

Malunde 1 blog ilikuwepo eneo la Sherehe..Tazama Matukio yaliyojiri kwenye Send Off ya Daniella Peter Kwadhi kwa kuangalia Picha hapa chini.
Bi. Harusi Mtarajiwa Daniella Peter Kwadhi akiingia katika ukumbi wa Nyakahara Mjini Shinyanga kwenye Send Off yake usiku wa Ijumaa Agosti 7,2020. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Bi. Harusi Mtarajiwa Daniella Peter Kwadhi akiingia katika ukumbi wa Nyakahara Mjini Shinyanga kwenye Send Off yake.
Bi. Harusi Mtarajiwa Daniella Peter Kwadhi akiingia katika ukumbi wa Nyakahara Mjini Shinyanga kwenye Send Off yake.
Wapambe wa Bi. Harusi Mtarajiwa Daniella Peter Kwadhi wakiingia katika ukumbi wa Nyakahara kwenye Send Off ya Daniella.
Wapambe wa Bi. Harusi Mtarajiwa Daniella Peter Kwadhi wakionesha mbwembwe zao kwenye Send Off ya Daniella.
Wapambe wa Bi. Harusi wakiwa kwenye Send Off ya Daniella.
Familia walezi wa Daniella wakiwa kwenye Send Off ya Daniella
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya sherehe ya kumuaga Daniella, Dk. Clement Baclema akizungumza ukumbini.
Mjumbe wa kamati ya maandalizi ya Send off ya Daniella, bwana Lukelo Kivambe akifanya maombi wakati wa kufungua Sherehe ya Kumpongeza na Kumuaga ‘Send off’ Mfanyakazi wa Kampuni maarufu ya uuzaji nguo ‘Ommy Fashion’, Bi Daniella Peter Kwadhi.
Bi. Harusi mtarajiwa Daniella Peter Kwadhi akicheza muziki na wapambe wake baada ya kuingia ukumbini.
Bi. Harusi mtarajiwa Daniella Peter Kwadhi akicheza muziki na wapambe wake baada ya kuingia ukumbini.
Wazazi wa  Daniella Peter Kwadhi wakiingia katika ukumbi wa Nyakahara Garden kushuhudia Send Off ya binti yao.

 Wazazi wa Daniella Peter Kwadhi wakicheza baada ya kuingia ukumbini. Kushoni ni MC Abedinego Ngwegwe

Wazazi wa Bwana Harusi Mtarajiwa Mhandisi Mwesiga Laurent Katunzi wakicheza muziki ukumbini.
Msanii Hans Q kutoka ShyTown VIP Band akiendelea kutumbuiza

Msanii Hans Q kutoka ShyTown VIP Band akiendelea kutumbuiza

Wageni waalikwa,ndugu, jamaa,na marafiki wakicheza muziki kwenye Send Off ya Daniella

Wageni waalikwa,ndugu, jamaa,na marafiki wakicheza muziki kwenye Send Off ya Daniella.
Daniella Peter Kwadhi akiwa kwenye Send off yake.
Wakurugenzi wa Makampuni mbalimbali wakiwa kwenye Send Off ya Daniella.
Daniella Peter Kwadhi akiinukia kisu juu akikata keki maalum kwa ajili ya Send Off yake.
Daniella Peter Kwadhi akikata keki maalum kwa ajili ya Send Off yake.
Daniella akijiandaa kuwalisha keki wazazi wake.
Mzee Peter akimlisha keki mwanaye Daniella.
Mama Daniella akimlisha keki mwanae
Daniella akiwapa zawadi ya keki wakwe zake watarajiwa.
Daniella akiwapa zawadi ya keki wazazi wake

Sherehe inaendelea.
Daniella akiwapatia zawadi ya Keki Mr & Mrs Omary Ramadhan 'Ommy Fashion'
Mr & Mrs Omary Ramadhan 'Ommy Fashion' wakipokea zawadi ya keki kutoka kwa mfanyakazi wao Daniella aliyetumikia kampuni ya Ommy Fashion kwa zaidi ya miaka 10
Mr & Mrs Omary Ramadhan 'Ommy Fashion' wakipokea zawadi ya keki kutoka kwa mfanyakazi wao Daniella aliyetumikia kampuni ya Ommy Fashion kwa zaidi ya miaka 10
Kamati ya maandalizi ya Send off ya Daniella wakiandamana kufuata zawadi ya keki kutoka kwa Daniella.
Kamati ya maandalizi ya Send off ya Daniella wakipokea zawadi ya keki kutoka kwa Daniella.
Kamati ya maandalizi ya Send off ya Daniella wakifurahia zawadi ya keki kutoka kwa Daniella.
Marafiki wa Ommy Fashion wakionesha mbwembwe ukumbini.
Wajumbe wa kamati ya maandalizi ya Send off wakipiga picha ya pamoja na Daniella.
Wajumbe wa kamati ya maandalizi ya Send off wakikabidhi zawadi Daniella.

kurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Dellah Car Traders Edwin Mhella (kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi ya Sumari Security na Kampuni ya Vinywaji ya Lego Luquor Store, Gody Sawele wakiwa kwenye Send off ya Daniella Peter

Wageni waalikwa,ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye Send Off ya Daniella

Wageni waalikwa,ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye Send Off ya Daniella

Bi. Harusi mtarajiwa Daniella Peter akiwatambulisha wazazi wake na ndugu zake.
Ndugu wa Daniella wakiwa kwenye Send Off ya Daniella
Ndugu wa Daniella wakiwa kwenye Send Off ya Daniella
Marafiki na wapambe wa Daniella wakiwa ukumbini.
Walezi wa Daniella wakiwa ukumbini
Walezi wa Daniella wakiwa ukumbini.
Wageni waalikwa na marafiki wa Daniella wakiwa ukumbini.
Wageni waalikwa,ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye Send Off ya Daniella
Wageni waalikwa,ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye Send Off ya Daniella
Wageni waalikwa,ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye Send Off ya Daniella
Wageni waalikwa,ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye Send Off ya Daniella
Wageni waalikwa,ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye Send Off ya Daniella
Wageni waalikwa,ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye Send Off ya Daniella
MC akiwatambulisha Ma MC wenzake ukumbini
Wageni waalikwa,ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye Send Off ya Daniella. Katikati ni MC ICE akifuatilia matukio yaliyokuwa yanaendelea ukumbini
Zoezi la kufungua Shampen likiendelea
Zoezi la kufungua Shampen likiendelea
Wafungua shampen wakionesha ufundi wa kufungua Shampen
Bi. Harusi Mtarajiwa Daniella akionesha ishara ya kugonga Cheers na wakwe zake.
Wageni waalikwa,ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye Send Off ya Daniella
Daniella akijiandaa kugonga cheers na ndugu,jamaa na marafiki zake waliohudhuria Send off yake.
Zoezi la kugonga cheers na Bi, Harusi mtarajiwa likiendelea.
Zoezi la kugonga cheers na Bi, Harusi mtarajiwa na wakwe likiendelea.

Zoezi la kugonga cheers likiendelea
Zoezi la kugonga cheers likiendelea
Zoezi la kugonga cheers likiendelea
Zoezi la kugonga cheers likiendelea
Daniella Peter Kwadhi akimleta ukumbini mme wake mtarajiwa Mhandisi Mwesiga Laurent Katunzi.
Daniella Peter Kwadhi akimleta ukumbini mme wake mtarajiwa Mhandisi Mwesiga Laurent Katunzi.
Daniella Peter Kwadhi na mme wake mtarajiwa Mhandisi Mwesiga Laurent Katunzi wakiwa ukumbini
Daniella Peter Kwadhi akiwa mme wake mtarajiwa Mhandisi Mwesiga Laurent Katunzi.
Mhandisi Mwesiga Laurent Katunzi akizungumza ukumbini.
Daniella Peter Kwadhi akimvalisha viatu vipya (zawadi) mme wake mtarajiwa Mhandisi Mwesiga Laurent Katunzi.
Daniella Peter Kwadhi akimvalisha viatu vipya (zawadi) mme wake mtarajiwa Mhandisi Mwesiga Laurent Katunzi.
Mhandisi Mwesiga Laurent Katunzi akiwa amevaa viatu alivyopewa zawadi na mke wake mtarajiwa Daniella

Bi Daniella Peter Kwadhi akicheza muziki na mme wake mtarajiwa Mhandisi Mwesiga Laurent Katunzi.

Bi Daniella Peter Kwadhi akicheza muziki na mme wake mtarajiwa Mhandisi Mwesiga Laurent Katunzi.

Daniella Peter Kwadhi akiwapatia zawadi  Familia ya Omari Ramadhani 'Ommy Fashion' kwa kuwa walezi wake kwa kipindi cha zaidi ya miaka 10 sasa.
Daniella Peter Kwadhi akiwapatia zawadi  Familia ya Kivambe kwa kuwa walezi wake
Daniella Peter Kwadhi akipiga picha ya kumbukumbu na marafiki wa Omary Ramadhan 'Ommy Fashion' ambaye ni mlezi wa Daniella.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Gven Wear, Grace Mng'ong'o akiwa katika Send off ya Daniella.

Wageni waalikwa,jamaa na marafiki wakiwa kwenye Send Off ya Daniella
Waalikwa na wageni mbalimbali wakiwa kwenye send off ya Daniella.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Dellah Car Traders Edwin Mhella (kulia), Mkurugenzi wa Kampuni ya Ommy Fashion, Omary Ramadhan akifuatiwa na Mkurugenzi wa Herbert School,Dr.  Clement Baclema wakipiga ya kumbukumbu kwenye Send Off ya Daniela Peter Kwadhi.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Dellah Car Traders Edwin Mhella (kushoto), Mkurugenzi wa Kampuni ya Ommy Fashion, Omary Ramadhan, na MC Abedinego Ngwegwe akifuatiwa na Mkurugenzi wa Herbert School,Dr.  Clement Baclema wakipiga ya kumbukumbu kwenye Send Off ya Daniela Peter Kwadhi.

Wageni waalikwa,jamaa na marafiki wakiwa kwenye Send Off ya Daniella
Wageni waalikwa,ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye Send Off ya Daniella
Wageni waalikwa,ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye Send Off ya Daniella
Wageni waalikwa,ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye Send Off ya Daniella
Wageni waalikwa,ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye Send Off ya Daniella
Wageni waalikwa,ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye Send Off ya Daniella
Wageni waalikwa,ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye Send Off ya Daniella
Wageni waalikwa,ndugu, jamaa na marafiki wakicheza muziki kwenye Send Off ya Daniella
Mkurugenzi wa Kampuni ya La Prince, Athanas  William akiwa kwenye Send Off ya Daniella.
Wageni waalikwa,ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye Send Off ya Daniella
Wageni waalikwa,ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye Send Off ya Daniella
Wageni waalikwa,ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye Send Off ya Daniella
Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com