Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu/Uwekezaji Mh. Angellah Kairuki, pamoja na Waziri wa kilimo, Mh. Japhet Hasunga watembelea maonesho ya #TigoNanenane2020 na kujionea bidhaa na huduma kutoka Tigo.Ambapo katika msimu huu kuna punguzo la bei ya simu zikiwa na Internet BURE mwaka mzima ili kuleta maendeleo kwa wakulima, wavuvi na wafugaji. Tembelea katika viwanja mbalimbali ili kujipatia huduma na bidhaa za Tigo.
Social Plugin