Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Tundu Antiphas Lissu leo Jumanne 11,2020 amefika mkoani Shinyanga kutafuta wadhamini na kusalimiana na mamia ya wananchi waliojitokeza katika ofisi za CHADEMA wilaya ya Shinyanga Mjini.
Mhe. Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amekutana na Wanachama wa CHADEMA Jimbo la Kahama Mjini na Shinyanga Mjini ambapo amepata wadhamini 483 juu ya lengo lililowekwa la kupata wadhamini 200.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Mhe. Tundu Antiphas Lissu akizungumza na mamia ya wakazi wa Shinyanga waliojitokeza katika ofisi za CHADEMA wilaya ya Shinyanga Mjini wakati akitafuta wadhamini kugombea kiti cha Rais wa Tanzania. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Mhe. Tundu Antiphas Lissu akizungumza na mamia ya wakazi wa Shinyanga waliojitokeza katika ofisi za CHADEMA wilaya ya Shinyanga Mjini wakati akitafuta wadhamini kugombea kiti cha Rais wa Tanzania.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Mhe. Tundu Antiphas Lissu akiwasalimia wakazi wa Shinyanga waliojitokeza katika ofisi za CHADEMA wilaya ya Shinyanga Mjini.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Mhe. Tundu Antiphas Lissu akiondoka katika ofisi za CHADEMA wilaya ya Shinyanga Mjini.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Mhe. Tundu Antiphas Lissu akiondoka katika ofisi za CHADEMA wilaya ya Shinyanga Mjini.
Wakazi wa Shinyanga wakimsikiliza Tundu Lissu.
Wananchi wakitawanyika baada ya Tundu Lissu kuondoka.
Social Plugin