Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) , kwa niaba ya Bodi ya Wadhamini, anasikitika kutangaza kifo cha Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani CPA
Shadrack O. Aiko kilichotokea tarehe 24 Agosti, 2020 jijini Dodoma.
Shadrack O. Aiko kilichotokea tarehe 24 Agosti, 2020 jijini Dodoma.
Mfuko unatoa pole kwa familia ya marehemu, wafanyakazi wenzake, ndugu, jamaa na marafiki. Taratibu za mazishi zinafanyika Bunju, Jijini Dar es Salaam na maziko
yatafanyika tarehe 30 Agosti 2020 Shirati, Rorya mkoani Mara.
yatafanyika tarehe 30 Agosti 2020 Shirati, Rorya mkoani Mara.
Social Plugin