PATROBAS KATAMBI APITISHWA KUGOMBEA UBUNGE SHINYANGA MJINI, BUTONDO KISHAPU
الخميس, أغسطس 20, 2020
Patrobas Katambi
Kikao Cha Halmashauri Kuu Kuu Ya CCM Taifa (NEC) kimewapitisha wafuatao Kugombea Ubunge Majimbo Mkoa wa Shinyanga kwenye uchaguzi Mkuu 2020.
1. Patrobas Katambi - Shinyanga Mjini
2. Boniphace Nyangindu Butondo - Kishapu
3. Idd Kassim- Msalala
4.Elias Kwandikwa - Ushetu
5. Jumanne Kishimba - Kahama Mjini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin