Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Live: BILIONEA LAIZER ANAUZA MADINI MENGINE KWA SERIKALI MUDA HUU

Bilionea Laizer ambaye wiki kadhaa nyuma alipata madini makubwa zaidi kuwahi kutokea ambayo aliyauza kwa serikali na kumuingiza kwenye orodha ya mabilionea wapya Tanzania, hatimae amepata madini mengine makubwa na leo anayakabidhi kwa serikali.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com