Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE WA CCM WALIOPITISHWA KUGOMBEA KWENYE UCHAGUZI MKUU 2020

Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, Humphrey Polepole,Agosti 20, ametangaza majina ya wagombea ubunge wa CCM waliopitishwa na Kamati ya Halmashauri kuu ya Taifa ya chama hicho.
1 ARUSHA
mijini- Mrisho Mashaka Gambo
Arumeru Magharibi- Noah LebrusMolel
Arumeru Mashariki- John Palangyo
Karatu- Daniel Tlemai
Longido- Stephen Kirusya
Monduli- Fred Lowassa
Ngorongoro- Ole Nasha

2.DAR ES SALAAM
Ubungo- Prof KitilaKitila
Kibamba- Issa Jumanne Mtemvu
Kinondoni- Abass Tarimba
Kawe- Askofu Josephat Gwajima
Kigamboni- Dr.Faustine Ndugulile
Ilala- Mussa Zungu
Segerea- Bonna Kamoli
Ukonga- Jerry Slaa
Temeke- Doroth Kilave
Mbagala- Abdallah Chaurembo

3.DODOMA

Bahi- Keneth Nolo
Chamwino- Deo Dejembi
Mvumi- Livingstone Lusinde
Chemba- Mohammed Moni
Dodoma Mjini- Anthony Mavunde
Kongwa- Job Ndugai
Kondoamji- Ally Juma Makoa
KondoaVijijini- Dr.Ashatu Kijaji
Kibakwe- George Simbachawen
Mpwapwa- George Nataly Malima

 4.GEITA
Busanda- Tumaini Magesa
Geita Mjini- Consatantine Kanyasu
Geita vijijini- Joseph Kasheku(Musukuma)
Bukombe- Dotto Bisheko
Chato- Medard Kalemani
Mbogwe- Nicodemas Maganga
Nyang’alwe- Hussein Amar

5.IRINGA
Iringa Mjini- Jesca Msavatambangu
Kalenga- Jackson Kiswaga
Isimani- William Lukuvi
Kilolo- Lazaro Nyamoga
Mafingamji- Cosato Chumi
Mufindi Kaskazini- Exaud Kigahe
Mufindi Kusini- David Kihenzile

6.KAGERA
Bukoba mjini- Stephen Byabato
Bukoba vijijini- Jackson Rweikiza
Nkenge- Frolent Kyombo
Karagwe- Innocent Bashungwa
Kyerwa- Innocent Bilakwate
Ngara- Ndaisaba Luhoro
Bihalamuro- Ezra Chiwelesa
Muleba Kaskazini- Charls Mwijage
Muleba Kusini- Oscar Kikoyo
 

7.KATAVI
Mlele- Isack Kamwele
Kavuu- Geophrei Mizengo Pinda
MpandaMjini- Sebastian Kapufi
Nsimbo- Anna Lupembe
MpandaVijijini- Moshi Kakoso

8.KIGOMA
Kasuli Mjini- Prof Joyce Ndalichako
Manyovu- Dr. Philip Mpango
Buyungu- Aloyce Kamamba
Muhambwe- Atashasta Nditiye
KigomaMjini- Kirumbe Shabani Ng’enda
KigomaKaskazini- Asa Nelson Makanika
KigomaKusini- Nashon William
Kasuluvijijini- Augustine Hole
 

9.KILIMANJARO
Vunjo- Charls Kimei
Siha- Dr. Godwin Mollel
Moshi Vijijini- Prof. Patrick Ndakidemi
Hai- Salasisha Mafue
Same Mashariki- Anne KilangoMalecela
Same Magharibi- Dr.Mathayo David Mathayo
Rombo- Prof. Adolf Mkenda
Moshi Mjini- PriscusTarimo
Mwanga- AnaniaTadayo
 

10.LINDI
Kilwa Kaskazini- Ndulane Franscis
Kilwa Kusini- Kasinge Mohammed Ally
Liwale- Zuberi Kuchauka
LindiMjini- Hamida Mohammed Abdallah
Mchinga- Salma Kikwete
Mtama- Nape Nnauye
Nachingwea- Amandus Julius Chinguiye
Ruangwa- Kassim Majaliwa

11.MANYARA
Babati Mijini- Paulina Gekul
Babati vijijini- Daniel Silo
Hanang- Samwel Kadai
Mbulumji- Isai Paulo
Mbulu vijijini- Flatei Gregory
Kiteto- Edward Kisau
Simanjiro- Christpher Ole Sendeka

12.MARA
Musoma Mjini- Vedastus Manyinyi
Musoma Vijijini- Prof.Sospeter Muhongo
Bunda Mjini- Robert Chach aMaboto
Bunda Vijijini- Boniface Getere
Mwibara- Charls Kajege
Butiama- Jumanne Sagini
Rorya- Jaffary Wambura Chege
TarimeMjini- Mwita Michael Kembaki
TarimeVijijini- Mwita Waitara
Serengeti- Dr.Jeresabi Mkimi

13.MBEYA
Busekelo- Atupele Mwakibete
Kyela- Ally Jumbe
Lupa- Masache Kasaka
Mbalali- Franscis Mtega
Mbeya Mjini- Dk. Tulia Akson
Mbeya Vijijini- Oran Njeza
Rungwe- Anthony Mwantona

14.MOROGORO
Mlimba- Godwin Kunambi
Kilombero- Abubakar Asenga
Morogoro mjini- AbdulAziz Abood
Gairo- Ahmed Shabiby
Malinyi- Antipas Mgungusi
Morogoro Kusini- Innocent Kalogeres
Morogoro Mashariki- Hamis Shaaban Taletale
Mvomero- Jonas Vanzilad
Mikumi- Deniss Lazaro Londo
Kilosa- Prof.Palamaganda Kabudi
Ulanga- Salim Hasham

15.MTWARA
Mtwara Mjini- Mtenga Hassan Selemani
Mtwara Vijijini- Hawa Ghasia
Nanyamba- Abdallah Chikota
Tandahimba- Katani Katani
Newala mjini- George Mkuchika
Newala Vijijini- Maimuna Mtanda
Masasi- Geofrey Mwambe
Lulindi- Issa Mchungahela
Ndanda- Cecil David Mwambe
Nanyumbu- Yahaya Ali Mhata

16.MWANZA
Ukerewe- Joseph Mkundi
Ilemela- Dkt. Angelina Mabula
Sengerema- Tabasamu Hamis Mwagao
Buchosa- Erick Shigongo James
Nyamagana- Stanslaus Mabula
Misungwi- Alexander Mnyeti
Sumve- Kasalali Emmanuel Mageni
Kwimba- Shanif Mansour
Magu- Bonaventura Kiswag


17. Mkoa wa Njombe
LUPEMBE - Edwin Enos
NJOMBE MJINI -Deodatus Mwanyika
MAKAMBAKO - Deo Sanga
MAKETE - Festo Richard
WANGING'OMBE - Dkt Festo John
LUDEWA - Kamonga Joseph


18.Mkoa wa Tabora
IGUNGA - George Ngassa
MANONGA - Seif Gulamali
TABORA KASKAZINI - Almasi Maige
IGALULA - Daud Protas
TABORA MJINI - Emmanuel Mwakasaka
NZEGA MJINI - Hussein Bashe
NZEGA VIJIJINI - Hamiss Kigwangalla

BUKENE - Jumanne Zedi
KALIUA - Aloyce Kwezi
ULYANKURU - Rehema Migira
URAMBO - Margaret Sitta
SIKONGE - Joseph Kakunda


19. Mkoa wa Shinyanga
SHINYANGA MJINI - Patrobas Katambi
SOLWA - Ahmed Ally
KAHAMA MJI - Jumanne Kishimba
USHETU - Elias Kwandikwa
MSALALA - Iddi Kassim
KISHAPU - Boniface Nyangindu 


20.Mkoa wa Simiyu
BARIADI - Andrea Kundo
BUSEGA - Simon Songe
ITIRIMA - Njalu Silanga
MASWA MAGHARIBI - Mashimba Ndaki
MASWA MASHARIKI - Nyongo Stanslaus
KISESA - Luhaga Mpina
MEATU - Leah Komanya


21.Mkoa wa Singida
SINGIDA MASHARIKI - Miraji Mtaturu
SINGIDA MAGHARIBI - Elibariki Kingu
MANYONI MASHARIKI - Dkt Steven Chaya
MANYONI MAGHARIBI- Yahaya Omary
IRAMBA MASHARIKI - Francis Mtinga
IRAMBA MAGHARIBI - Mwigulu Nchemba

SINGIDA MJINI - Mussa Sima
SINGIDA KASKAZINI - Ramadhani Ihondo


22.Mkoa wa Songwe
ILEJE - Eng Godfrey Msongwe
MBOZI - George Mwenisongole
VWAWA - Japhet Hasunga
TUNDUMA - David Silinde
MOMBA - Kondesta Michael
SONGWE - Philipo Mlugo 


23.Mkoa wa Tanga
BUMBULI - January Makamba
MUHEZA - Hamis Mwinjuma (Mwana FA)
TANGA MJINI - Ummy Mwalimu
KOROGWE MJINI - James Kimeya
KOROGWE VIJIJINI - Paul Mzava
PANGANI - Jumaa Aweso
LUSHOTO - Shabaan Shekilindi
HANDENI MJINI - Reuben Kwagira 

HANDENI VIJIJINI - John Saru
KILINDI - Mohamed Kigua
MLALO - Rashid Shangazi
MKINGA - Dastan Kitandula


24.Mkoa wa Rukwa
NKASI KUSINI – Vincent Mbogo
SUMBAWANGA MJINI – Aeshi Hilary
KWELA – Deus Clement
NKASI KASKAZINI – Ally Kessy
KALAMBO- Josephat Kandege
NEWALA VIJIJINI – Maimuna Mtanda
MASASI – Geofrey Mwambe
LULINDI – Issah Mchungahela 


25.Pwani
Bagamoyo – Muharami Mukenge
Chalinze – Ridhiwani Kikwete
Kibiti – Twaha – Twaha Ally Mpembenue
Kibaha Mjini – Sylvester Koka
Kisarawe – Selemani Jaffo
Mkuranga – Hamisi Ulega
Mafia – Omary Kipanga
rufiji – Mohammeh Mchengelwqa
Kibaha Vijijini – Michale Constantine Mwakamo








==>>Zaidi, Msikilize Hapo Chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com