MAMIA YA WANANCHI WA JIJI LA ARUSHA WAJITOKEZA KUIPOKEA TRENI YA ABIRIA ILIYOWASILI KWA MARA YA KWANZA BAADA YA MIAKA 30
Monday, August 24, 2020
Mamia ya wananchi wa Jiji la Arusha, wamejitokeza kuipokea treni ya abiria iliyowasili kwa mara ya kwanza ikitokea Moshi Mkoa wa Kilimanjaro baada ya kusitisha safari zake zaidi ya miaka 30 iliyopita.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin