Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage amekabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa Chama cha NCCR MAGEUZI, Yeremia Kulwa Maganja aliyeambatana na Mgombea Mwenza, Haji Ambar Khamis katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma leo Agosti 11, 2020.
Social Plugin