NAIBU WAZIRI AWESO AREJESHA FOMU ZA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA PANGANI
Tuesday, August 25, 2020
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso akiwa amebeba fomu za kuwania Ubunge Jimbo hilo akiwa njiani kuzirudisha ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi kwenye Jimbo hilo mapema leo
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso ambaye pia ni naibu Waziri wa Maji kulia akizirejesha fomu za kuwania kiti hicho leo kwa msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Pangani Isaya Mbenje katikati anayeshuhudia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Pangani Rajabu
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso ambaye pia ni naibu Waziri wa Maji katika akiwa na Victoria Mwanziva kushoto na kulia ni Afisa wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Tanga Gipson George mara baada ya kurejesha
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso ambaye pia ni naibu Waziri wa Maji katikati akiwa na KATIBU Tawala wa wilaya ya Pangani (DAS) Mwalimu Hassani Nyange kushoto na kulia ni Afisa wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Tanga Gipson George na wa kwanza kushoto ni kada wa CCM Victoria Mwanziva mara baada ya kurejesha
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maji akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kurejesha fomu za kuwania Ubunge Jimbo la Pangani
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin