NDEGE ZA MASHIRIKA YA KIMATAIFA ZAENDELEA KUMIMINIKA NCHINI.....HAPA NI NDEGE AINA YA DREAMLINER, A7-BCG YA SHIRIKA LA NDEGE LA QATAR
Wednesday, August 05, 2020
Ndege aina ya Dreamliner, A7-BCG ya Shirika la Ndege la Qatar (Qatar Airways) ikikanyaga ardhi ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mapema asubuhi hii ikiwa ni muendelezo wa safari za ndege za mashirika ya kimataifa nchini Tanzania.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin