Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Wakulima Tanzania (AAFP), Seif Maalim Seif na Mgombea-mwenza, Rashid Ligania wamechukuwa fomu leo ambapo wamekabidhiwa na Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage jijini Dodoma.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Democratic Part (DP) , Philipo John Fumbo mara baada ya kuchukua Fomu leo
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Leopold Mahona baada ya kupokea fomu ya uteuzi ya kugombea Urais wa Tanzania inayotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Zoezi la kuchukua fomu hizo limeanza leo katika ofisi za NEC jijini Dodoma.
Social Plugin