NEC YAMTEUA JOHN SHIBUDA KUWA MGOMBEA WA URAIS WA TANZANIA KWA TIKETI YA CHAMA CHA ADA-TADEA
الثلاثاء, أغسطس 25, 2020
NEC imemteua John Shibuda kuwa mgombea wa Urais wa Tanzania na Hassan Kijogoo kuwa mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais wa Chama cha ADA-TADEA.
Zoezi hilo limefanywa na Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwenye ofisi za NEC Dodoma
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin