Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kupitia kwa Mwenyekiti wake Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage, imewateua Muttamwega Mgaywa kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Satia Musa kuwa mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais kupitia chama cha SAU.
Social Plugin