Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

NEC YAMTEUA MUTTAMWEGA MGAYWA KUWA MGOMBEA WA URAIS WA TANZANIA KWA TIKETI YA CHAMA CHA SAU

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kupitia kwa Mwenyekiti wake Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage, imewateua Muttamwega Mgaywa kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Satia Musa kuwa mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais kupitia chama cha SAU.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com