Mgombea wa kiti cha Urais kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Bernard Membe amechukua fomu ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Agosti 07, 2020 katika Makao Makuu ya Tume ya Uchaguzi (NEC) Dodoma.
Membe amesindikizwa na viongozi mbalimbali wa chama hicho wakiongozwa na Mwenyekiti wa Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad na Katibu Mkuu, Ado Shaibu
Social Plugin